kelly_rowland_5.Poziii la mtoto wa kike staa
kelly-rowland-singer.Nahili je
ANAMUZIKI wa Marekani Usher Raymond yupo katika harakati za kuakikisha kuwa wimbo wake wa "Confessions," alioutoa mwaka 2004, unakuwa wa kwanz katika nyimbo bora kwa miaka 10 iliyopita.
"Katika maisha kuna kupanda na kushuka, wakati huu naweza kuwa juu na baada ya muda mchache ukajikuta umeshuka,," Usher.
Alisema, ana matumaini makubwa kuwa wimbo huo umekuwa gumzo kwa sasa licha ya kutoka zaidi ya miaka sita iliyopita.
Alidai, kutokana na nyimbo zake nyingi alizoziimba, wimbo huo umeonekana kuwa miongoni mwa nyimbo bora tangu mwaka 2000 mpaka sasa na kwamba katika utafutaji wa nyimbo moja bora ya kila mwanamuziki, huo unaweza kuongoza.
Rihanna, Monica wanafanana kimuziki
WANAMUZIKI Rihanna na Monica wametajwa kuwa wanafanana baadhi ya vionjo katika muziki wao na kwamba wote wanaimba muziki wa aina moja.
Wiki iliyopita, Monika alishika namba moja katika chati za Billboard ambapo Rihanna alishika namba mbili kwa wimbo wake "Rude Boy" katika 100 Billboard.
Licha ya kuwa namba moja kwa wiki iliyopita, Monica hakuwahi kushika namba hiyo tangu mwaka 2003 ambapo kwa upande wa Rihanna, amekuwa akiwa karibu sana katika namba za juu za Billboard.
Monika alifanikiwa kumwondoa Timbaland ambaye alikuwa akishikilia nafasi hiyo wiki mbili zilizopita, nafasi aliyopo Monika kwa sasa ilikuwa ikipiganiwa pia na Usher kupitia wimbo wake "Everything To Me".
Ne Yo amkosha Rowland
KELLY Rowland amemshukuru mwanamuziki mwenzake Ne-Yo kutokana na kutunga wimbo kwa ajili yake.
Akizungumza na jarida la Daily Star mwanzoni mwa wiki, Rowland alisema, amefurahi sana kutokana na uamuzi wa Ne-Yo kutunga wimbo huo na kuwepo katika albamu mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.
"Ne-Yo ametunga wimbo kwa ajili yangu, nimefurahi sana kwa sababu si kitu cha kawaida," alisema Rowland wakati akizungumzia kibao hicho kiitwacho "Ms. Kelly".
Pamoja na hivyo, Rowland hakutaka kufafanua zaidi sababu za kutungiwa wimo huo ambapo Ne-Yo alisema kuwa ni mapenzi yake tu.
kelly-rowland-singer.Nahili je
rihanna .Jukwaani au studio
Ne-Yo-pk0. aaa kivyagu vyangu tuANAMUZIKI wa Marekani Usher Raymond yupo katika harakati za kuakikisha kuwa wimbo wake wa "Confessions," alioutoa mwaka 2004, unakuwa wa kwanz katika nyimbo bora kwa miaka 10 iliyopita.
"Katika maisha kuna kupanda na kushuka, wakati huu naweza kuwa juu na baada ya muda mchache ukajikuta umeshuka,," Usher.
Alisema, ana matumaini makubwa kuwa wimbo huo umekuwa gumzo kwa sasa licha ya kutoka zaidi ya miaka sita iliyopita.
Alidai, kutokana na nyimbo zake nyingi alizoziimba, wimbo huo umeonekana kuwa miongoni mwa nyimbo bora tangu mwaka 2000 mpaka sasa na kwamba katika utafutaji wa nyimbo moja bora ya kila mwanamuziki, huo unaweza kuongoza.
Rihanna, Monica wanafanana kimuziki
WANAMUZIKI Rihanna na Monica wametajwa kuwa wanafanana baadhi ya vionjo katika muziki wao na kwamba wote wanaimba muziki wa aina moja.
Wiki iliyopita, Monika alishika namba moja katika chati za Billboard ambapo Rihanna alishika namba mbili kwa wimbo wake "Rude Boy" katika 100 Billboard.
Licha ya kuwa namba moja kwa wiki iliyopita, Monica hakuwahi kushika namba hiyo tangu mwaka 2003 ambapo kwa upande wa Rihanna, amekuwa akiwa karibu sana katika namba za juu za Billboard.
Monika alifanikiwa kumwondoa Timbaland ambaye alikuwa akishikilia nafasi hiyo wiki mbili zilizopita, nafasi aliyopo Monika kwa sasa ilikuwa ikipiganiwa pia na Usher kupitia wimbo wake "Everything To Me".
Ne Yo amkosha Rowland
KELLY Rowland amemshukuru mwanamuziki mwenzake Ne-Yo kutokana na kutunga wimbo kwa ajili yake.
Akizungumza na jarida la Daily Star mwanzoni mwa wiki, Rowland alisema, amefurahi sana kutokana na uamuzi wa Ne-Yo kutunga wimbo huo na kuwepo katika albamu mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.
"Ne-Yo ametunga wimbo kwa ajili yangu, nimefurahi sana kwa sababu si kitu cha kawaida," alisema Rowland wakati akizungumzia kibao hicho kiitwacho "Ms. Kelly".
Pamoja na hivyo, Rowland hakutaka kufafanua zaidi sababu za kutungiwa wimo huo ambapo Ne-Yo alisema kuwa ni mapenzi yake tu.
No comments:
Post a Comment