FILAMU MPYA YAJA
Muongozaji wa filamu na Camera man wa MY DREAMS wameizungumzia movie hiyo kwa ufupi na kusema ni movie ya shots za kufa mtu na ufanisi wa picha kupita kiasi itakayoleta ladha tofauti kwa muangaliaji wa movie hiyo,Nikianza mimi mwenyewe THE GREATEST kama Director wa movie hii kwakweli naona nimeitendea haki story nzima iliyochezwa humu ndani kwa kufuata kila kilichotakiwa kufanywa na Director bora anachotakiwa kufanya kwa kupiga shots zote nzuri zinazotakiwa ili kuleta chachu kwa muangaliaji na kuhakikisha kila muhusika katika movie hii anabeba uhalisia halisi unaotakiwa kuchezwa.
No comments:
Post a Comment