
Joseph Haule amesema Tushirikiane Kuitokomeza, kauli inayowataka watanzania kujikinga wao na familia zao dhidi ya malaria.Baadhi ya wasanii walio saini katika uzinduzi huu wa Malaria Haikubaliki ni pamoja na; Kidumu, Diamond, Dully Sykes Marlaw, Professor Jay, Lady Jay Dee, Mwasiti, Bi Kidude, Banana Zoro, Ray C, Maunda Zoro, Tanzania House of Talent (THT) dance troupe, Banana, amini na pipi, Mataluma na R Tony.Tiketi za kuingia kwenye tamasha la zinduka zinauzwa kwa shilingi (3000) na zitapatikana zuzu, Steers -Millenium Tower na Town Outlet
No comments:
Post a Comment