Kamanda wa kanda maalum ya dsm S Kova akionyesha bastora na pingu alizokutwa nazo Jerri Muro wa TBC. kamanda Kova alisema kuwa wakati wanakwenda eneo la tukio hawakujua kama ni Muro nakwamba wao walikwenda kukamata kama ilivyo kawaida yao walipofika waliduwaa kumkuta ni Muro.Jerri Muro alikamatwa jumapili (jana) kwa tuhuma za kuomba ruswa na kukutwa na pingu kinyume cha sheria
No comments:
Post a Comment