header

nmb

nmb

Wednesday, February 10, 2010

Mwakilishi wa Tanzania Mnet Face of Africa ashangilia kuingia kumi bora..!

Liliani Mdunda aliyetuwakilisha ktk Mnet Face of Afrika 2010 alitua ndani ya Bongo wiki hii ameonyesha furaha ya mashindano yale baada ya kuingia Top 10 ya visura wa Face of Afrika, ktk mashindano hayo mrembo kutoka Zambia Lukando Nalungwe aliibuka kidedea kwa mara ya kwanza.
PICHA ZINAZOMUONYESHA MSHINDI WA FACE OF AFRICA KTK POZI TOFAUTI










No comments:

Post a Comment