Mtangazaji wa TBC habari za Uchunguzi Jerri Muro akionyesha Tuzo aliyo kabidhiwa na Raisi wa awamu ya pili Mzee Ruks Baada ya kuibuka mshindi kwa kuandika habari za uchunguzi Lilizo telekea askari wa kikosi cha usalam Barabarani kutimuliwa kazi. Picha hizo linionyeshwa Polisihao wanapokea Lushwa.
No comments:
Post a Comment