Bw. na Bi. Dutsan Jemes Kombe wakipigana busu la ukwelii nje ya kanisa la KKKT Usharika wa Msasani muda fupi baada ya kufunga ndoa jumamosi iliyopita Dar es salaam.
Bwana harusi Dutsun Kombe akitia saini ya uhaminifu baada ya kufunga ndoa
wanandoa na wazazi wakiwa ktk picha ya pamoja na askofu nje ya kanisa hilo
maharusi wakikata keki
Bibi harusi Ziada akimlisha Ndafu mumewe
Mapoz ktk picha, hakika walipendeza wenye wivu wajinyonge!
Kamanda msaidizi wa kikosi cha usalama barabarani nchini Mr. Mpinga akiwa na mkewe walishiriki ktk sherehe ya harusi ya mtoto wa rafiki yake ambaye pia ni bosi wake Mzee James Kombe
maharusi wakiwa na wapambe wao ktk pozi
katika nyuso za furaha huku wakitafakari kuishi wawili km mwili mmoja
Beatrice wa Exim Bank akiwa na shoga yake walikuwepo kushuhudia ktk hotel ya Blue Pearl Ubungo Plaza ilikofanyika sherehe hio
Bw. na bibi harusi katikati na bestman kushoto wakiwa ktk picha ya pamoja na mawifi wa bi. harusi
KILA LA KHERI MR & MRS Dutsun Jemes KOMBE
No comments:
Post a Comment