header

nmb

nmb

Thursday, January 28, 2010

Zain yazindua Nipe nikupe Kempinski leo!!

Bw. Twisa akizungumza na waandishi wa habara leo Kilimanjaro Kempinski walipokuwa wanazindua ofa mpya ya NIPE NIKUPE



Mabosi wa Kampuni ya simu ya Zain Tz kutoka kulia Meneja Masoko Kelvin Twissa,Ofisa Mkuu wa Biashara wa Zain Afrika Steve ,Mkurugenzi Mkuu Mr Khaled na Mkurugenzi wa Masoko Syed Ahsan wakionesha Bango la matangazo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya "NIPE NIKUPE" ambapo mteja chochote atakachotumia kuzungumza na mtu mwingine wa mtandao wowote kampuni hiyo itarudisha.


Utaratibu wa Kujiunga ni kutuma, *SMS Nipe kwenda namba 15444 Utapokea ujumbe kutaarifiwa


Bw Twisse anasema huduma hiyo ni kama zawadi kwa watumiaji wa mtandao wa kampuni yake kwani hata ukitumia 50,000 Zain watarudisha muda wa maongezi uliotumia.

No comments:

Post a Comment