MAREHEMU SWETU FUNDIKIRA AMBAYE ALIFARIKI JUZI ASUBUHI KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI BAADA YA KUPIGWA NA KUJERUHIWA VIBAYA NA WANAJESHI ANATALAJIWA KUZIKWA LEO MAKABURI YA KINONDONI
Wanajeshi waliohusika na mauaji hayo ambao ni mme na mkewe ni Sajenti Rhoda Robert askari wa jeshi la wananchi Lugalo na Koplo Ali Ngube pia ni askari wa JWTZ ambapo leo watafikishwa ktk Mahakama ya Kisutu, Dar es salaam.
MWENYEZI MUNGU AIPUMUZISHE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI, AMIN
No comments:
Post a Comment