Aliyekuwa GM Mr. S uma akitoa speech ya kushukuru na kuwaaga wafanyakazi aliokaa nao kwa miaka kadhaa, kwa sasa mitikasi yake itaamia kwa Bw. Yoweri Museveni
GM mpya wa TDL Mr. Mgwasa akitoa speech ya kushukuru ukaribisho, baada ya speech hio alifunguliwa shampagne
Meneja wa Mikwanja Mr.Nassoro akikabidhi zawadi kwa GM anayeondoka
Mama GM anayeondoka nae alikabidhiwa gift yake kwa kazi kubwa aliyokuwa akiifanya ya kumuamsha mzee kuwahi kazini mapema!
Meneja wa raslimali watu Mr. Njenje akitoa maelezo ya jinsi kiwanda kilivyookolewa kuungua moto mwaka jana na baadaye kuwazawadia walioshiriki kuzima moto huo. Kushoto ni GM akifatilia kwa makini
Mr. Nassoro (kushoto) na Mr. Njenje wakihakiki zawadi za wafanyakazi bora 2009
Mama lao Bi Mariam (mamaa wa kipunguni) akihakiki zawadi ya Gm anayeondoka
Joseph Chibehe (faza) kulia akimpongeza mfanyakazi aliyekaa kwa mda mrefu TDL
Mr & Mrs wakishangilia baada ya kutunukiwa cheti cha utumishi wa mda mrefu TDL
GM Mr. Mgwasa akikabidhi mkwanja kwa Walioshiliki kuzima moto kiwandani
No comments:
Post a Comment