header

nmb

nmb

Tuesday, January 26, 2010

Mshindi wimbo bora wa Ukimwi azawadiwa..!


Mratibu wa kitengo cha UKIMWI katika Manispaa ya Temeke, Dkt. Mathias Lyaruu (kushoto), akikabidhi zawadi kwa washindi wa fainali za shindano la wimbo bora wa kupambana na maambukizi ya UKIMWI, Amon Nungi (kulia) na Hassan Akida (katikati) katika ukumbi wa Luxury Pub, shindano hilo liliandaliwa na shirika la PSI Tanzania. Speciroza

No comments:

Post a Comment