header

nmb

nmb

Friday, January 8, 2010

.. kweli kuna watu wagumu kuelewa!!!

Kibao kilichochomekwa opposite na ofisi za Multchoice barabara ya Ali Hassan Mwinyi kikikataza kufanyika lolote lakini wafanyabiashara wa maua wanaendelea na biashara zao bila kujali ujumbe huo.


No comments:

Post a Comment