KAIMU BALOZI WA TANZANIA NCHINI UJERUMANI AKUTANA NA UJUMBE WA BODI YA UTALII TANZANIA (TTB
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Balozi Christopher Mvula kushoto akizungumza na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii ya Tanzania TTB Dk. Aloyce Nzuki wakati yeye na ujumbe wake walipomtembelea Mh. Balozi na kuzungumza naye mambo mbalimbali ukiwemo mkakati wa bodi hiyo katika kutangaza utalii wa Tanzania kupitia balozi zetu nchi mbalimbali za ulaya hasa maajabu matatu yaliyotangazwa juzi na taasisi ya Seven Natural Wonders ya Marekani ambayo ni Mlima Kilimanjaro, Mbunga ya Serengeti na Ngorongoro Crates, Bodi ya Utalii Tanzania TTB iko jijini Berlin nchini Ujerumani ikiongoza makampuni zaidi ya 43 ya utalii katika maonyesho ya kimataifa ya ITB yanayofanyika katika jengo la Mense Berlin.
No comments:
Post a Comment