header

nmb

nmb

Wednesday, February 6, 2013

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA

 Nyumba kama hii ndio mfano wa kuigwa angalau tungetegemea Vijijini kote kuwe na nyumba za kisasa kama hii.Nyumba hii imepigwa picha Kigoma.
Hawa ni Wa Kituo cha mafuta Mkoani Lindi Ambao wameuwawa na Majambazi Baada ya kupolwa Bunduki yao aina ya Shoti gan.Lakini Majambazi hao hawakufanikiwa kuiba kitu zaidi ya kupora Roho za walinzi hao

No comments:

Post a Comment