header

nmb

nmb

Wednesday, February 20, 2013

Chadema:Uzinduzi wa Chadema Kanda ya Kaskazini

 

Sehemu ya wafuasi wa Chadema wakiwa na Mabango
 Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akiongea katika mkutano wa ufunguzi wa Kanda ya Kaskazini.
 Katibu wa Chadema Arusha Mh Amani Golugwa akiongea katika uzinduzi wa Chadema Kanda ya Kaskazini.
 Muasisi wa Chadema Mzee Edwini Mtei Akiwa katika uzinduzi wa Chadema Kanda ya Kaskazini.
 Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema katikati akiwa katika Uzinduzi wa Chadema Kanda ya Kaskazini.
Viongozi wa Chadema wakiwa wamekaa meza kuu katika mkutano wa Uzinduzi wa Chadema Kanda ya Kaskazini uliofanyika jana katika viwanja vya Ngarenaro Arusha.Picha Zote na CHADEMA

No comments:

Post a Comment