Mwenyekiti wa chama cha mabunge nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA) , Mhe. Sir Alan Haselhurst, Mbunge kutoka Uingereza akichangia nae katika mojawapo ya mada zilizowasilishwa katika mkutano wa 21 wa maspika wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akifurahia jambo na Spika wa Malawi Mhe. Henry Chimundu Banda baada ya kuhudhuria mada mojawapo katika mkutano wa 21 wa maspika wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola unaofanyika Mjini Port of Spain, katika Visiwa vya Trinidad and Tobago. Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge
No comments:
Post a Comment