Moto wa Dar Live unazidi kupamba moto kila wiki na wikiendi iliyopita, mwimbaji taarab mahiri nchini Khadija Kopa akiwa na TOT pamoja na wasanii wa Tip Top Connection, wakiongozwa na Rais wao Madee, walitoa shoo kali ya kufa mtu na kuacha historia ya kipekee kwa wakazi wa wilaya ya Temeke na kwingineko waliohudhuria shoo hiyo. Picha zinaonesha sehemu ya mpango mzima ulivyokuwa:(Picha kwa hisani ya Full Shangwe Blog)
No comments:
Post a Comment