Dereva Aden akiwa katika maumivi makali wakati akitolewa ndani ya Basi akikimbizwa hospitali ya Ifisi.
Wasamaria wakimpandisha dereva aliyepata ajali ndani ya Coasster ambayo alipewa msaada kwa ajili ya kupatiwa matibabu kwenye Hospitali Teule ya Ifisi.Dereva huyo ali nasa katika Usukani wa gari alilokuwa akiendesha.Picha na Rashid Mkwinda.
No comments:
Post a Comment