header

nmb

nmb

Monday, November 28, 2011

Siku jakaya kikwete alipo gawa juisi kwa wageni wake!!

Dr kikwete akigawa juisi kwa wageni wake kutroika chadema walipomtembelea Ikulu

Rais Dk. Jakaya Kikwete akiagana na viongozi wa Kamati ya CHADEMA baada ya mkutano wa jana wa na JK na kamati ya Uongozi ya CHADEMA iliyokwenda kumuona kuzungumzia mchakato wa katiba.

Baada ya maongezi marefu yaliyodumu kwa takriban masaa mawili na nusu, mwenyeji aliwakaribisha wageni wake juisi na chai na kahawa kabla ya kuagana nao kwa furaha

na kuwaomba waende tena kesho Ikulu saa nne ili baada ya kujadiliana na timu yake ya Serikali, maongezi yaendelee


Rais Dk.Jakaya Kikwete akiagana na mmoja wa wanakamati huku Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akifurahia jambo.

Rais Dk. Jakaya Kikwete akimpa glasi ya juisi Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Freeman Mbowe.

No comments:

Post a Comment