header

nmb

nmb

Tuesday, November 22, 2011




Mkuu wa kitengo cha Masoko na uhusiano wa KCB Tanzania Bi. Christine Manyenye akimkabidhi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kangaye Josephine Mlundwa baadhi ya vitabu vyenye thamani ya shilingi Milioni 1.5 vilivyotolewa na benki hiyo wakati wa hafla iliyofanyika Nyakato jijini Mwanza hivi karibuni. Anayeshudia katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule Joseph Nyanda.

No comments:

Post a Comment