header

nmb

nmb

Tuesday, September 27, 2011

Waziri na mwakilishi wa UNIDO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Mwakilishi wa{UNIDO} Nchini Tanzania Bw Emmanuel Kalenzi Kuhusu jinsi ya Kuandaa Miradi ya Nishati Mbadala ili Kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi huko Ofisini Kwake Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment