
Mama na Zabibu karibu na Banda la Tanzania Distrilleries, kama unavyojua TDL imepania kumkomboa Mtoto wa Mkulima wa Zabibu. katika Zabibu na shule Kwanza.

Wakazi wa mji wa dodoma wakiwa katika maonesho ya Nane nane dodoma, bendera ya valeur brandy kwa pembeni
i

Michezo mbalimbali ilitawala kwenye banda lao kama vile sarakasi, kucheza na moto na mingine mingi.
No comments:
Post a Comment