
Ajali hii imetokea Maeneo ya Kitunda jijini Dar es salaam asubuhi ya leo.

Gari ndogo iliingia ndani ya mtaro ila cha kumshukuru mungu hakuna aliekufa hata mmoja

Baadhi ya wakazi wa maeneo ya Kitunda walishuhudia ajali hiyo hapo wakiwa eneno la tukio

gari ilibinuka kabisa kama unavoiona hapo
No comments:
Post a Comment