header

nmb

nmb

Thursday, July 21, 2011

Feed the Children wadhamini shule ya Uhuru Mchanganyiko!!

An entrepreneur and the major donor of the Feed the Children akizindua majengo mawili ya madarasa kwa wanafunzi wasioona katika shule ya Uhuru Mchanganyiko

Mfadhili mkuu wa shirika la Feed The Chidren Ms Dorotea Liguori akiwa na baadhi ya watoto wenye ulemavu wa kuona wa shule ya Uhuru Mchanganyiko wakati wa kukabidhi majengo mawili ya madarasa kwa ajili ya matumizi yao. makabidhiano hayo yalifanyika katika viwanja vya shule hiyo jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment