header

nmb

nmb

Thursday, July 21, 2011

Fainali Miss kanda ya Mashariki kufanyika kesho Mjini Morogoro.

Baadhi ya wanynge watakao shiriki katika mashindano ya Vodacom miss kanda ya mashariki wakiwa katika picha ya pamoja

mmoja wa washiriki wa Vodacom miss kanda ya mashariki
THULEYA DABAS kutoka mkoani pwani

Mashindano hayo yanatarajia kushiriisha jumla ya washiriki 14 kutoka katika mikoa ya Pwani, Mtwara, Morogoro pamoja na Lindi.

Shindano hilo linatarajiwa kupambwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Dully Sykes

No comments:

Post a Comment