header

nmb

nmb

Wednesday, October 20, 2010

KONYAGI YAPEWA TUZO YA SUPERBRANDS!!


Viongozi wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd wakiwa katika picha ya pamoja kusherehekea cheti cha Tuzo ya Ubora kinachotambulika kimataifa kilichotolewa na kampuni ya Superbrands hivi karibuni Jijini Dar es Salaam. Katika picha kuanzia kushoto wanaonekana Bw. Joseph Chibehe, MenejaMasoko, Bi. Martha Bangu, Meneja wa chapa za TDL, Bw. David Mgwassa, Meneja Mkuu,wa TDL Bi. Khadija Madawili, Meneja Ufundi, Bw. Mustaffa Nassoro, Meneja Fedha na Bw. Alex Samamba, Meneja Biashara & Maendeleo. pix kwa hisani ya burudan mwanzo mwisho

No comments:

Post a Comment