Dr. Kakaya Kikwete mgombea urais kupitia Chama Cham Mapinduzi CCM akionyesha ishara ya "Dole tupu" kwenye uwanja wa Jamhuri mjini morogoro kuthibitisha kwamba wako imara kuelekea uchaguzi huo utakafanyika oktoba 31 mwaka huu nchini kote(Picha na Ankal Michuzi) |
Jakaya Kikwete mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Morogoro mjini bw. Abdulaziz Abood. |
Mkaazi wa Matombo, Morogoro Vijijini Mashariki, akipuliza vuvuzela la asili kwenye mkutano wa kampeni wa Jakaya Kikwete jana.
Kapteni John Komba pamoja na kundi la TOT wakitumbuiza klwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana kwenye uwanja wa Jamhuri ukihutubiwa na Dr. Jakaya Mrisho Kikwete katika awamu yake ya pili ya kampeni hizo kuelekea uchanguzi mkuu mwezi oktoba
No comments:
Post a Comment