Eneo la kizuizi cha mali asili kijiji cha KENEGELE barabara ya Kahama - Bukombe
ilipotokea ajali ya basi la SUPER NAJMUNISA kugongana na Fuso na kusababisha
vifo vya watu 16 na majeruhi 47.
Eneo la kizuizi cha mali asili kijiji cha KENEGELE barabara ya Kahama - Bukombe
ilipotikea ajali ya basi la SUPER NAJMUNISA kugongana na Fuso na kusababisha
vifo vya watu 16 na majeruhi 47. Basi hilo lilipita kulia kabisa upande uliokuwa
uelekeo wa fuso na kugongana uso kwa uso baada ya kizuizi hicho. Basi hili ndilo lililo sababisha Roho za watu kukaangwa kwa uzembe wa Dereva.
MAANDISHI YA BASI HILI YANATISHA.

WATU 207 wamekufa huku wengine 3,074 wakijeruhiwa katika ajali tofauti zilizotokea katika Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Januari hadi Juni mwaka huu.
Hayo yamesemwa katika ufunguzi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Kwa mujibu wa risala iliyosomwa na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani, Jerome Ringo, kiwango cha watu wanaokufa kutokana na ajali kinatishia amani.
Amesema wapo baadhi ya madereva wamekuwa wakiendesha magari bila ya kuzingatia sheria z“Acheni urafiki na madereva Gama.
a barabarani na kusababisha vifo ambavyo vinaweza kuepukika.
Mwenyekiti huyo amesema katika jiji la Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni inaongoza katika ajali ambapo miongoni mwa watu 207 waliokufa katika mkoa wa Dar es Salaam, 93 wanatoka katika wilaya hiyo.
Amesema Wilaya ya Ilala inashika nafasi ya pili ikiwa na vifo 64 wakati Wilaya ya Temeke ni vifo 50 katika kipindi hicho.
Kutokana na taarifa hizo, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Leonidas Gama, aliwataka askari wa usalama wazembe. Hawa wamekuwa wakichangia ongezeko la ajali za barabarani. Hakuna kuwaonea haya,” alisisitiza barabarani kutowaonea haya madereva wakorofi.
Gama amesema wapo baadhi ya madereva ambao wamekuwa wakisababisha ajali kwa uzembe hivyo hakuna budi kwanini wasinyang’anywe leseni zao.
No comments:
Post a Comment