Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bunge, Dar es Salaam wakicheza mpira katika sehemu isiyo maalum kwa michezo wakati wa mapumziko shuleni hapo, jana. Kama Michezo ikizingatiwa na kuinyua vipaji vya watoto nchi yetu itafika mbali sio patapatapatata.Maneno tu(Picha na Zuberi Mussa)
No comments:
Post a Comment