header

nmb

nmb

Tuesday, August 17, 2010

SHERIA MIKONONI YATOA ROHO YA KIJANA HUYU!!

Align Center
MTUHUMIWA WA UKIBAKA AMBAYE JINA LAKE HALIKUPATIKANA MARA MOJA AKIWA AMEPOTEZA FAHAMU KUTOKANA NA KICHAPO BAADA YA KUDAIWA KUMWIBIA MMOJA WA ABIRIA ALIYEKUWA NDANI YA DALADALA AKITOKEA TANDIKA KUELEKEA MWENGE, KIJANA HUYO ALIDAIWA KUMPORA ABIRIA HUYO SIMU KUPITIA DIRISHANI NDANI YA DALADALA HIVYO NDIPO WANANCHI WENYE HASIRA WALIMKIMBILIA WAKAMKAMATA NA KUMPA KICHAPO CHA MAWE, ENEO LA KARUME SOKONI LA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM.By full Shangwe

No comments:

Post a Comment