Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru jana jijini Dar es salaam, wanachama wa CCM waliojitokeza kumpongeza kwa hatua ya kurejesha fomu katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi na pia kukubaliwa kama Mgombea halali wa CCM katika uchaguzi ujao. Picha na Tiganya Vincent-Dar es salaam
Mgombea Mwenza wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Dkt Mohamed Gharib Bilal akiwashukuru wanachama wa CCM na wapenzi waliofika jana katika viwanja vya Ofisi Ndogo ya CCM jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuwapongeza kwa kukubaliwa bila na Tume ya Uchaguzi ya Tanzania kuwa wagombea kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi ujao. Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwasikiliza wagombea wao wakati walipokuwa wakihutubia maelfu wa wanachama wao katika ofisi ndogo ya chama CCM Lumumba
No comments:
Post a Comment