header

nmb

nmb

Thursday, August 26, 2010

MISS TANZANIA WAVAA MIKOROLE YA KIMASAI, WATOA MISAADA ,MZEE WA PR BLOG NAYE NDANI AKICGHUNGA MIFUGO!!


Ukiwam kwa wakwele nilazima Ufanane nao.Mzee wa pr akiwakirisha na shuka ya kimasai katika kutoa misaada

Washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa UWT Wilayani Monduli pamoja na Viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania baada ya akina mama hao kuwapa zawadi ya vikoi vya kimasai na kuwatakia kila la heri katika mashindano hayoyatakayo fikia Kilele Septemba 11 mwaka huu Dar es Salaam
Paulina Lowasa dada wa Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowasa, akiwapa mkono wa kuwatakia heri Warembo wa Vodacom Miss Tanzania alipokutana nao Wilayani Monduli mkoni Arusha jana na kuwapa zawadi ya vikoi vya kimaasai warembo wote 30. Warembo hao wanatembelea Kanda ya Kaskazini kuangalia vivutio vya Utalii nchini.

No comments:

Post a Comment