header

nmb

nmb

Thursday, August 12, 2010

MFUNGO WAJA NA MBWEMBWE ZAKE. FUTARI ZAPOANDA BEI KITI MOTO CHAPUNGUA BEI!!

Kiti motoooozzzzzzzzzz Kwasasa imedaiwa kupunhua bei kufuatia Mwezi mtukufu wa Ranadhani Chanzo chadaiwa ni kukosa Wateja kwa wingi.
Futari kwa sasa Wafanya Biashara wamedaiwa kupandisha Mbahakuli Baada ya mwezi kuandama chanzo ni Tamaa za Wafanya biashara.

No comments:

Post a Comment