header

nmb

nmb

Wednesday, August 18, 2010

KAMATI YA MISS TANZANIA YATIMUA WAWILI KWA KOSA LA NIDHAMU KAMPINI!!

Baadhi ya Warembo wanaoshirikia katika shindano la Miss Tanzania 2010 wakimsikiliza Mshauri wa kamati ya Miss Tanzania DK.Ramesh Shah hayupo (pichani) wakati alipokuwa akiwapa ushauri juu ya kuweza kujiamini katika semina. Pamoja na mambo mengine pia warembo hao walionywa kuhusu nidhamu na kwamba hadi sasa wamesha fukuzwa kambini warembo wawili,

No comments:

Post a Comment