header

nmb

nmb

Tuesday, August 31, 2010

AY WA BONGO AFUNIKA NAIROBI JANA NA JUZI!!

Mwanamuziki Ambwene Yessaya AY akiwa na mwanamuziki mwenzie wa kenya Nemless pamoja na Mbunifu wa mavazi wa AY Fundi Saidi wakiwa katika mazungumzo wakati walipokutana kabla ya onesho hilo lililovuta hisia za mashabiki wengi kwenye uwanja wa KCC Nairobi.
Huu ndiyo umati uliohudhuria kwenye onesho hilo lililofanyika hivi karibuni jijini Nairobi Kenya.

No comments:

Post a Comment