header

nmb

nmb

Monday, July 26, 2010

MSIBA MZITO BI.PELESTACHI J.CHIBEHE AFARIKI DUNIA, NI MAMA WA MDAU JOSEPH CHIBEHE!!

BI. PELESTACHI J.CHIBEHE 1929-2o10
Joseph chibehe akiwa na ndugu na jamaa wakipanga jinsi ya kusafirisha mwili wa marehemu leo kuelekea kijijini kwake Homboro mkoani Dodoma.
Wadau wote na Mwenyekiti wa pr Promotion wanaungana katika msiba huu mzito.

EE Mungu iweke Roho ya Mama yetu mahali Pema Peponi!!









Kaka Alex Samamba na Mhariri wa Nipashe Michezo Fred Ogot waliungana na mfiwa kuomboleza Njumbani kwa Chibehe Pugu Kajiungeni!!

No comments:

Post a Comment