SAFARI YA WASANII KUELEKEA VISEGESE MKOANI PWANI.INADAIWA MKUU WA WILAYA NI KIKWAZO CHA MAENFDELEO YA WASANII NA WANAKIJIJI!!
Msafara ulianza hivi
Wadau wa sanaa wakivinjari kijijini
Mzee wa kijiji akipiga picha hukuakiwa na msanii fred
Mpiga picha Imma Mbuguni (katikati) akiongoza kikosi cha wasanii kuangalia baadfhi ya maeneo kijijini Visegese
Baadhi ya wanakijiji wakiwangoja wasanii huku wakiwa na hofu ya kukutwa na Mkuu wa Wilaya hiyo ambaye aliwakataza wana kijiji kuwakaribisha wasanii kwa kilekinacho daiwa ni Chuki Binafsi .
Baadhi ya wasanii wakiwa katika mkutano uliofanyika kijijini hapo kwa muda wa dakika 5 kabla ya kulejea jijini
Kirimo kwanza wakiongea na wasaniio
Mzee wa Kijijui akionyesha maeneo yanayopaswa kupewa wasanii wa SHIWATA
Misukosuko safarini basi hili ilibaki kiduchu kupinduka na wasanii wakiwemo ndani hii ilitokea wakati tu8nakwenda kijijini .MUNGU NI MKUBWA
No comments:
Post a Comment