

warembo watakaowania taji la miss da cicy center hawa hapaaa
Mdau wa blog ya burudan 'Super D' akiwa amepoz na warembo hao

Saidi kilumanga Mimi na mabinti damu damu ahaa jamani nipo kazini hapa stoll tu kuli mtu ana wake nyumbani kwake

Salma Mwakalukwa
umri,21
anaishi,kinondoni
elimu,chuo
anapenda,kuwa mwanamitindo
chakula,nyama


Nancy Murray
umri,20
anaishi,Temeke
elimu chuo
anapenda,kuwa mwanamitindo
chakula,biriani

Anna Bella
umri,21
anaishi,upanga
Elimu chuo
anapenda Urembo
chakula,ugari samaki


Neema Jacobo
miaka.20
anaishi, Temeke
Elimu,chuo
Anapenda Urmbo
Chakula Chipsi

baadhi ya warembo watakaowania taji la Dar city center wakiwa katika mapozi tofauti tofauti
thanx mdau Super D
No comments:
Post a Comment