
Polisi akifyatua bom la machozi hewani kutaka kuwatawanya wazee.
Haikusaidia

Baadhi ya wazee wakishangaa Bomu la machozi wakati likipigwa Badala ya kukimbia wao wanashangaa.

Mmoja kati ya Wazee akitolewa na Polisi eneo lililokuwa likipigwa bom kwa lengo la kumuokoa. Mwenyewe anasema hakimbii kwakuwa alikuwa mwanasheria wa jumuiya hiyo

Wakiwa nje wa Jengo la Polisi

Tigo kazini

Kiongozi wa wazee Mr. Mraki

Tigo kazini
Leo asubuhi ilikuwa kizaazaa nje ya mahakama kuu baada ya jaji kuahirisha kesi yao ya madai. Wazee hao walichukua hatua ya kozomea na kupiga kelele nje ya mahakama hio kupinga uamuzi huo wakati wao walitarajia kuwa leo ni hukumu ya kesi yao.
Wazee hao waliondoka baada ya kushindana na polisi na kuelekea kituo cha polisi kwa lengo la kumuona kamanda Kova juu pichani kwa ufafanuzi
No comments:
Post a Comment