header

nmb

nmb

Friday, April 16, 2010

Wahenga walisema; "Vita ya Panzi furaha ya kunguru"

Wahamasishaji wa kampuni mbili tofauti za mitandao ya simu nchini walipokutana ktk makutano ya barabara ya Morocco kuelekea Mwenge huku wote wakifanya mashindano kufikisha ujumbe wao kwa wananchi wanaotumia barabara hizo, ilikuwa ni kama Vita huku Zain wakinadi Tsh. 1 kwa sekunde na Tigo wakiipigia debe Tsh. 1/2 kwa sekunde





Nimekumbuka maneno ya Wahenga waliposema
VITA VYA PANZI FURAHA KWA KUNGURU


No comments:

Post a Comment