header

nmb

nmb

Thursday, April 8, 2010

Mtoto wa Malkia wa Uholanzi ,Princess Maxima afanya mazungumzo na Waziri wa Fedha

Princess Maxima mke wa mtoto wa malkia wa uholanzi akijadiliana jambo jijini Dar es salaam na Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo leo juu ya uimarishaji huduma za kibenki kwa wananchi waliowengi. Princess Maxima huyo na ujumbe wake yuko nchini kwa ziara ya siku mbili ambapo atakutana na viongozi mbalimbali waandamizi wa serikali na taasisi za kifedha.

No comments:

Post a Comment