
Mtoto wa ajabu amezaliwa nchini, Jamaika kama anavyoonekana kwenye , Madactari bingwa wanaumiza vichwa kumfanyia upasuaji..

Wazazi wa mtoto wa ajabu wakiwa na mtoto wao nje ya hospitali ya taifa nchini Jamaica pamoja na watoto wao wengine.Huyu ni mtoto wa 3 ktk famulia hii.
Wazazi hawa wameshema watamtunza hata kama ikishindikana kufanyiwa Upasuaji mbaka hapo Mungu atakapo mchukuwa.
No comments:
Post a Comment