header

nmb

nmb

Wednesday, April 21, 2010

Uhuru wa kuongea ni kuongea kweli, Mashabiki wapagawa Ukumbini. Ni mbambo ya Zain!!

Mwanamuziki kutoka Nigeria J-Martins kulia akiongea wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere. Msanii huyo ambaye yuko nchini kwa mwaliko wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zain alitarajia kufanya onyesho jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja uhusiano wa Zain Muganyizi Mutta.

Akipagawisha jukwaani

Jamaa alinogewa na ushabiki wa bongo akaona bora avue koti na kofia ili kupagawisha wabongo,kila mtu aliondoka meno yote nje baada ya J-martins kufunga Usiku wa uhuru wa kuongea na kibao chake Good Or Bad,pichani J-martins akiimba kwa hisia kwa kweli ulikuwa ni usiku wa Uhuru wa Kuongea.

No comments:

Post a Comment