

Kanisani KKKT Ukonga Mazizini. Bwana harusi akionekana kuwa ni mwenye furaha zaidi kuliko kawaida yake

Wakiingia ukumbini JKT Mgulani

Bosi wa Kagaruki Bw. John Maspinduzi ambaye ni Mhariri mkuu wa Gazeti la Majira akitoa nasaha zake

wakikata keki

Babu Mweisiga akichukuwa dina .Ni Mzee wa TBS

Mamaaa Rose vipi mpunga huo mbona Kiduchu!!

Kula mpunga Mke wangu "Ndivyo anavyoelekea kusema Bwana harusi"

Shampeini ilifunguliwa kwa staili hii na Mama Mpambaji!!
Hivi ndivyo mambo yalivyo noga ukumbini wakati Bi. Suzan akimnywesha mumewe shampeini
Bwana harusi anatoa Shuklani kwa wote walio fanykisha na kuomba radhi kwas walio kwazika.By.Prona Mumwi
Pr video production ndio waliotoa huduma ya Picha zote kama sehemu ya mchango wao. Tunawatakia maisha mema ya ndoa katika ukurasa mpya.
No comments:
Post a Comment