header

nmb

nmb

Thursday, March 4, 2010

TGNP YAELIMISHA WAANDISHI NA WASANII


Mtoa mada Bi. Bearice akionyesha Gazeti la wajanja Majira kutoa mfani jinsi linavyo changia katika Jamii kuhusu mfume Dume.kwakwali Dada unajua kufundisha maana hukuchoka maswali na ...............................zilizokuwa zikitokea
Watoa mada katika Mafunzo ya siku tatu yajulikanayo kwa jina la "MAFU YA JINSIA/UKOMBOZI WA WANAWAKE KIMAPINDUZI KWA VYOMBO VYA HABARI NA WASANI TANZANIA" Bi.Beatrice (juu) na Bi Glory wakitoa mada .
Nami pia nilikuwepo mdau wenu katika kuwakirisha PR Habari
Habari ndio hiyo.Full Stori jumapili ilikuwaje tumeambiwa nini na tumejifunza nini



Wawezeshaji Atuwene na mwenzake pia walifanikisha mafunzo hayo.Kwa habari zaidi ni jumapili

No comments:

Post a Comment