Waliokuwa mawaziri waandamizi katika Serikali ya awamu ya tatu Daniel Yona (kushoto) Basil Mramba (katikati) na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bw. Gray Mgonja wakisubiri kusikilizwa kwa kesi yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana. Hawa wanatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya Ofisi na mipesa yatu wakati wakiwa katika vyeo vyao.Picha, Zuberi
No comments:
Post a Comment