(standby)mwandosya: Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya (kitenge) wakiteremka baada ya kuaangalia ujenzi mkubwa wa mradi wa usambazaji maji vijijini unaofanywa na kampuni ya Spercon Ltd katika wilaya ya Kibiti mkoa wa Pwani.Kulia kwake Mbunge wa Kibiti Bw. Abdul Malombwa.(Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo.lezo)
No comments:
Post a Comment