header

nmb

nmb

Monday, February 22, 2010

MTUHUMIWA WA MAUAJI

Mtuhumiwa wa kesi ya mauaji, Bw. Elinaza Matiku akiwa chini ya ulinzi wa Polisi wakati akirudishwa mahabusu baada ya kesi yake kuahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam jana. Kesi hiyo itatajwa tena Machi 8 mwaka huu. By.Mussa

No comments:

Post a Comment