Kiongozi wa Chama cha DP, Mchungaji Mtikila akizungumza na waandioshi wa habari Dar es Salaaam leo akipinga kauli ya Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Uratibu na Bunge Philip Marmo aliyesema kuwa uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika bila kuwepo kwa mgombea Binafsi.
Mtikila kwa mujibu wa Katiba na sheria uchaguzi lazima uwe huru na haki kwa kufanyika pakiwepo wagombea binafsi na Bila yao hakuna uchaguzi utakaofanyika mwaka huu.
No comments:
Post a Comment