HUYU NI BUSHOKE ALIYE PIGA TAFF
Mbele ya macho yenu niliugua mwanenuyeye akatoa damukwangu ni mtu muhimuKwenye shida nipo naye kwenye raha niko nayeyeye ndiye nimpendayesitarajii mwingine natoka Dar naenda Kimanzi kuwataarifu wazazi mimi na mpenzi wangu mtetezi ( kimwana) ndoa yetu mwisho wa mwezi nilijuta kufika nikajuta yaliyonikutawazazi wangu walikataa wakanionyesha picha ya wao kwao
Kiitikio
KiitikioBushoke:
Oh mtoto tulia sisi tumekuchaguaumetaka utamuoahukutaka utamuoa
20% sawa nitamuoa ila sitodumu naye wazazi muelewe miye ninaye nimpendaye x 2.

Ubeti wa kwanza 20%
Mbele ya macho yenu niliugua mwanenuyeye akatoa damukwangu ni mtu muhimuKwenye shida nipo naye kwenye raha niko nayeyeye ndiye nimpendayesitarajii mwingine natoka Dar naenda Kimanzi kuwataarifu wazazi mimi na mpenzi wangu mtetezi ( kimwana) ndoa yetu mwisho wa mwezi nilijuta kufika nikajuta yaliyonikutawazazi wangu walikataa wakanionyesha picha ya wao kwao
Kiitikio
Bushoke:
Oh mtoto tulia sisi tumekuchaguaumetaka utamuoahukutaka utamuoa 20% sawa nitamuoa ila sitodumu naye wazazi muelewe miye ninaye nimpendaye x 2.
Ubeti pili 20%
Ninakupenda mpenzi ila naogopa radhi tatizo la wazazi wanakimbilia radhi nivumilie mpenzi niwaridhishe wazazi tampa takala mwenzio arudi kwao kimanzikulala silali naye mimi chini juu yeye chochote sishei naye ninamnyanyapaa yeyechakula chake nakataa asijenipa limbwata kwa wazazi swadakta ndani ya ndoa fujo kila kukicha yaani daily.
Kiitikio
Bushoke: Oh mtoto tulia sisi tumekuchaguaumetaka utamuoahukutaka utamuoa 20% sawa nitamuoa ila sitodumu naye wazazi muelewe miye ninaye nimpendaye x 2.

No comments:
Post a Comment